• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za wafanyakazi |
SUMBAWANGA MUNICIPAL COUNCIL
SUMBAWANGA MUNICIPAL COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Manispaa
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ardhi & Mipango Miji
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mazingira na Taka Ngumu
      • Mipango na Uchumi
      • Utawala & Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Internal Audit Unit
      • Legal Service Unit
      • Info,Comm & Techno Unity
      • Procurement Management Unity
  • Fursa za uwekezaji
    • Natural Resource and Environmental Consarvertion
  • Huduma
    • Afya
    • Education
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati na majukumu yake
      • Fedha na Utawala
      • Uchumi, Elimu & Afya
      • Mipango miji & Mazingira
    • Ratiba za Vikao
      • For Councilors
      • For Hon. Mayor
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Fomu
    • Taratibu
    • Huduma za Kisheria
    • Fedha
  • Kituo cha Habari
    • Albamu ya Picha
    • Video
    • Taarifa Kwa Umma
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio
    • Makala
    • Michezo & Burudani

HOSPITALI YA WILAYA YA MANISPAA YA SUMBAWANGA YAANZA KUTOA HUDUMA

Ilibandikwa: May 5th, 2022

Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga imezidi kupanua wigo wa utoaji huduma kwa sekta ya afya kwenye halmashauri hiyo baada ya kufunguliwa kwa hospitali mpya ya wilaya ya halmashauri hiyo na zahanati  moja zaidi.

Kufunguliwa kwa halmashauri hiyo kunafuatia taarifa ya Mkurugebzi wa halmashauri hiyo Jacob Mtalitinya ambaye amesema kuwa hospitali ya wilaya iliyopo eneo la Isofu inafunguliwa baada ya kukamilika kwa baadhi ya majengo ya kutolea huduma.

Mtalitinya alisema kuwa ameridhishwa na ukaguzi na maendeleo ya ujenzi wa majengo hayo na ushauri na Wataalamu wa afya ambao taarifa yao inaonesha kuwa vifaa tiba  vilivyopo vinaweza kuanza kutoa huduma kwa kiwango bora.

Mkurugenzi alisema hospitali hiyo ambayo imeanza  kutoa huduma na alizitaja huduma zitakazoanza ni pamoja na wagonjwa wa nje, huduma ya Baba, Mama na mtoto, huduma ya Maabara na upimaji wa virusi vya Ukimwi.

Mtalitinya alisema kuanza kufanya kazi kwa hospitali hiyo kunasogeza huduma maeneo ya karibu zaidi kwa wananchi ambapo awali Manispaa hiyo ilikuwa ikitegemea kupata huduma katika ngazi ya wilaya kwa kushirikiana na hospitali Teule ya Dk.Atman iliyopo mjini Sumbawanga.

Aidha Mkurugenzi huyo alisema kuwa licha ya kufunguliwa kwa hospitali hiyo pia jitihada zimefanyika za kuzidi kuimarisha utoaji wa huduma katika ngazi ya vijiji na hivi sasa katika tarehe hiyo pia kutafunguliwa zahanati ya kijiji cha Nambogo ambayo iko kwenye kata ya Milanzi.

Katika zahanati hiyo nako huduma zitakazotolewa ni pamoja na wagonjwa wa nje, huduma ya Baba, mama na mtoto pamoja na maabara.

Licha ya huduma hizo ambazo zinafunguliwa, Manispaa hiyo hivi sasa inajenga vituo vya Afya viwili katika Kata za Mollo na Matanga,lakini pia zahanati ya kijiji cha Mponda na Pito, huku Mkurugenzi Mtalitinya akimshukuru Rais Samia kwa kutoa fedha za ujenzi wa vituo hivyo vya afya na zahanati.

Matangazo

  • Waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Kwanza 2021 December 18, 2020
  • Walichaguliwa Kidato cha Kwanza 2021 -PDF December 18, 2020
  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MITAALA YA ELIMU YA AWALI NA MSINGI TANZANIA BARA,JANUARY 2022. February 15, 2022
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2020 HALMASHAURI YA MANISPAA SUMBAWANGA. December 07, 2019
  • Angalia zote

Habari za Karibuni

  • TAMISEMI YAWAITA KAZINI WAAJIRIWA WAPYA

    July 04, 2022
  • TAMISEMI YAWAITA KAZINI WAAJIRIWA WAPYA

    July 04, 2022
  • UTARATIBU MPYA WA MAHAKAMA KUU KUAGA MAJAJI WASTAAFU WAWA KIVUTIO NCHINI

    June 02, 2022
  • MKURUGENZI MTALITINYA AZITAKA IDARA NA VITENGO VYATAKIWA KUFANYA MAFUNZO YA NDANI

    May 27, 2022
  • Angalia zote

Video

MANISPAA YA SUMBAWANGA KUTAFUTA MZABUNI WA KUZOA TAKA
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • History
  • Councilors
  • Photo Gallery

Viunganishi vinavyofanana

  • Public Servant portal
  • Download your Salaryslip here
  • Looking for a job in Public Sector?
  • Get everything from the government
  • Rukwa
  • TAMISEMI

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wageni

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana Nasi

    Sumbawanga Municipal Council

    Anuani ya Posta: P.O.BOX 187, Sumbawanga

    Simu ya Mezani: +255252802163

    Simu ya Kiganjani: +255 735519681/ +255

    Barua pepe: md@sumbawangamc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Uhuru binafsi
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

HakiMiliki ©2017 Sumbawangamc . Haki Zote Zimehifadhiwa