• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za wafanyakazi |
SUMBAWANGA MUNICIPAL COUNCIL
SUMBAWANGA MUNICIPAL COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Manispaa
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ardhi & Mipango Miji
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mazingira na Taka Ngumu
      • Mipango na Uchumi
      • Utawala & Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Internal Audit Unit
      • Legal Service Unit
      • Info,Comm & Techno Unity
      • Procurement Management Unity
  • Fursa za uwekezaji
    • Natural Resource and Environmental Consarvertion
  • Huduma
    • Afya
    • Education
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati na majukumu yake
      • Fedha na Utawala
      • Uchumi, Elimu & Afya
      • Mipango miji & Mazingira
    • Ratiba za Vikao
      • For Councilors
      • For Hon. Mayor
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Fomu
    • Taratibu
    • Huduma za Kisheria
    • Fedha
  • Kituo cha Habari
    • Albamu ya Picha
    • Video
    • Taarifa Kwa Umma
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio
    • Makala
    • Michezo & Burudani

Education

SEKTA YA ELIMU YA MSINGI

Katika Manispaa ya Sumbawanga kuna jumla ya shule za Msingi 63 ambapo shule 55 ni za Serikali na 8 ni za wamiliki binafsi.

Shule zenye Wanafunzi wenye Mahitaji Maalum

Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga ina  shule   4 zenye wanafunzi  157 wavulana  83 na wasichana 74 .Kati ya shule hizo shule 1 ina wanafunzi wenye mahitaji maalumu tu ambayo ni shule ya Msingi Malangali pia  kuna shule 3  jumuishi ambazo ni Katandala A, Kizwite na Mwenge B.Kama inavyoonekana kwenye jedwali Na 3

Jedwali 3: Idadi ya wanafunzi wenye mahitaji maalum

Na

Jina la shule

Idadi ya wanafunzi



Wavulana

Wasichana

Jumla

1
Shule Maalum  Malangali
44
50
94
2
Shule ya Msingi kizwite
29
13
42
3
Shule ya Msingi Mwenge B
5
8
13
4
Shule ya Msingi Katandala A
5
3
8

Jumla
83
74
157

Katika shule 55 za Serikali mahitaji na idadi ya waalimu wanaofundisha darasani ni kama inavyoonekana katika jedwali lifuatalo;-

Jedwali Na.4: Taarifa ya Walimu Elimu Msingi Januari, 2018

NA

MAHITAJI

WALIOPO

UPUNGUFU

1

1303

1003

300

 Idadi ya Wanafunzi kwa Shule za MsingiIdadi ya wanafunzi katika shule za Msingi 55 za Serikali ni 58,641 ambapo 28321 kati yao ni Wavulana na 30320 ni Wasichana.   

 

Hali ya Madawati na Vyumba vya Madarasa Elimu Msingi

 

Taarifa ya Madawati Januari, 2018

 

MADAWATI

VYUMBA VYA MADARASA

Mahitaji

Yaliyopo

Upungufu

Mahitaji

Yaliyopo

Upungufu

19547

19422

125

1309

508

801

  

Uandikishaji wanafunzi wa elimu ya awali na darasa la kwanza 2017

 

Halmashauri yetu Mwaka 2017 imeweza kuandikisha wanafunzi wa Elimu ya Awali 7811na Darasa la Kwanza 10628

  

Uandikishaji elimu ya Awali 2017

 

MWAKA 2017

ELIMU YA AWALI MALENGO

WALIOANDIKISHWA 

% YA WALIOANDIKISHWA

WAV
WAS
JML
WAV
WAS
JML
4004
4101
8105
4012
3790
7811

96

Uandikishaji darasa la Kwanza 2017 

 

MWAKA 2017

MALENGO

WALIOANDIKISHWA 

% YA WALIOANDIKISHWA

WAV
WAS
JML
WAV
WAS
JML
4060
4321
8381
5290
5338
10628

126.8

  

Uandikishaji wa Wanafunzi wa Darasa la kwanza na Awali 2018

 

Katika kipindi cha mwezi Januari hadi kufikia tarehe 31 Januari, 2018, Manispaa imeandikisha jumla ya wanafunzi 7,635 ( Wav 3,696 na Was 3,939) sawa na asilimia 93 kati ya wanafunzi 8,235 ya waliokisiwa kuandikishwa kwa darasa la kwanza, na wanafunzi 6,123 ( Wav 3,047 na Was 3,076) wa elimu ya awali sawa na asilimia 79 kati ya wanafunzi 7,777 ya waliokisiwa kuandikishwa.

 


Hali ya Taaluma

 

Hali halisi ya taaluma katika Halmashauri sio ya kuridhisha pamoja kuwa ufaulu umekuwa ukiongezeka mwaka hadi mwaka kwa Darasa la VII lakini matokeo ya mtihani wa Darasa la IV ni ya kuridhisha kama jedwali linavyoonesha mfululizo. Katika mitihani ya Kumaliza Elimu ya Msingi na darasa la Nne kuanzia Mwaka 2015 hadi 2017 ni kama ifuatavyo:Matokeo ya Mitihani ya Darasa la Saba Mwaka 2015 – 2017

 

MWAKA

ASILIMIA YA UFAULU

2015
71.6
2016
77.77
2017
84.09
 

 

Matokeo ya Mitihani ya Darasa la Nne Mwaka 2015 – 2017

 

MWAKA

ASILIMIA YA UFAULU



2015

62


2016

83.77


2017

83.46


   



Matangazo

  • Waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Kwanza 2021 December 18, 2020
  • Walichaguliwa Kidato cha Kwanza 2021 -PDF December 18, 2020
  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MITAALA YA ELIMU YA AWALI NA MSINGI TANZANIA BARA,JANUARY 2022. February 15, 2022
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2020 HALMASHAURI YA MANISPAA SUMBAWANGA. December 07, 2019
  • Angalia zote

Habari za Karibuni

  • TAMISEMI YAWAITA KAZINI WAAJIRIWA WAPYA

    July 04, 2022
  • TAMISEMI YAWAITA KAZINI WAAJIRIWA WAPYA

    July 04, 2022
  • UTARATIBU MPYA WA MAHAKAMA KUU KUAGA MAJAJI WASTAAFU WAWA KIVUTIO NCHINI

    June 02, 2022
  • MKURUGENZI MTALITINYA AZITAKA IDARA NA VITENGO VYATAKIWA KUFANYA MAFUNZO YA NDANI

    May 27, 2022
  • Angalia zote

Video

MANISPAA YA SUMBAWANGA KUTAFUTA MZABUNI WA KUZOA TAKA
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • History
  • Councilors
  • Photo Gallery

Viunganishi vinavyofanana

  • Public Servant portal
  • Download your Salaryslip here
  • Looking for a job in Public Sector?
  • Get everything from the government
  • Rukwa
  • TAMISEMI

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wageni

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana Nasi

    Sumbawanga Municipal Council

    Anuani ya Posta: P.O.BOX 187, Sumbawanga

    Simu ya Mezani: +255252802163

    Simu ya Kiganjani: +255 735519681/ +255

    Barua pepe: md@sumbawangamc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Uhuru binafsi
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

HakiMiliki ©2017 Sumbawangamc . Haki Zote Zimehifadhiwa