• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za wafanyakazi |
SUMBAWANGA MUNICIPAL COUNCIL
SUMBAWANGA MUNICIPAL COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Manispaa
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ardhi & Mipango Miji
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Mazingira na Taka Ngumu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Uchumi
      • Utawala & Rasilimali Watu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • TEHAMA
      • Ugavi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Matumizi bora ya Ardhi
    • Miundombinu yetu
    • Viwanda
    • Biashara
    • Utalii
    • Rasilimali za mifugo
  • Huduma
    • Afya
    • Huduma ya Maji
    • Education
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Fishing
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati na majukumu yake
      • Fedha na Utawala
      • UKIMWI
      • Uchumi, Elimu & Afya
      • Mipango miji & Mazingira
    • Ratiba za Vikao
      • For Councilors
      • For Hon. Mayor
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Fomu
    • Taratibu
    • Huduma za Kisheria
    • Fedha
  • Kituo cha Habari
    • Albamu ya Picha
    • Video
    • Taarifa Kwa Umma
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio
    • Makala
    • Michezo & Burudani

Elimu ya Msingi

Malengo na majukumu ya Idara ya Elimu Msingi.

  1. Kuongeza uandikishaji kwa kuzingatia fursa sawa.
  2. Kuinua ubora wa Elimu katika ngazi zote kwa Halmashauri.
  3. Kusimamia uwezo wa utendaji kazi.
  4. Kushughulikia masuala ya mtambuka na taratibu za kitaasisi.
  5. Kufanya utafiti wa Kielimu, ufuatiliaji na tathmini za Kielimu.
  6. Kupunguza idadi ya watu wazima wasiojua kusoma na kuandika
  7. Kuinua ubora wa mazingira ya Kufundishia na kujifunzia wanafunzi wote.
  8. Kuongeza idadi ya madarasa na watoto wa shule za awali.
  9. Kuhakikisha kuwa Elimu ya UKIMWI (VVU), Mazingira na stadi za maisha zinatolewa kwa ufanisi katika shule za msingi.
  10. Kusimamia upatikanaji na uwezeshaji wa mazingira kwa wanafunzi wenye Ulemavu.
  11. Mikakati iliyopo ili kuboresha elimu na kuinua kiwango cha taaluma na kufanikisha mpango wa Matokeo Makubwa Sasa.(BRN).
  12. Kutekeleza shughuli muhimu kulingana na ufinyu wa bajeti uliopo.
  13. Kuboresha Taaluma kwa kugawa maafisa Elimu kila kata kwa ajili ya ufuatiliaji wa karibu wa Taaluma na matatizo ya walimu.
  14. Kuboresha miundo mbinu na mazingira ya kujifunza na kujifunzia kwa kutumia fursa zilizopo.
  15. Kufanya vikao mbalimbali vya kila mwezi kati ya Maofisa Elimu, Waratibu na Walimu Wakuu kwa kuzingatia ratiba maalum iliyoandaliwa. Vikao rasmi Vinne kila mwezi vimekwishafanyika kufikia sasa.
  16. Uendeshaji wa Semina mbalimbali za masomo na semina za kitaalamu na kufanya mrejesho shuleni.
  17. Kuwajengea uwezo Kamati za Taaluma kwa kila shule ili kuweza kufanya upimaji na tathimini kupata mweleko wa Maendeleo ya Wanafunzi.
  18. Kuimarisha Vyama (Clubs) za masomo na k.k.k mashuleni.
  19. Kushirikiana na wadau mbalimbali wa Elimu ili kuboresha mazingira ya ufundishaji na ujifunzaji. Mfano Wazazi, watu binafsi na mashirika mbalimbal na Makampuni.
  20. Shughuli za Elimu ya Watu wazima-

Matangazo

  • Waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Kwanza 2021 December 18, 2020
  • Walichaguliwa Kidato cha Kwanza 2021 -PDF December 18, 2020
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2020 HALMASHAURI YA MANISPAA SUMBAWANGA. December 07, 2019
  • JOINING INSTRUCTION-LUKANGAO SECONDARY SCHOOL-MANISPAA YA SUMBAWANGA January 05, 2021
  • Angalia zote

Habari za Karibuni

  • Mitihani Kidato cha Nne 2020

    November 23, 2020
  • MBUNGE

    March 03, 2020
  • DC

    February 13, 2020
  • WASIOPITIA JKT WATAKIWA JESHINI KATIKA UTUMISHI WAO

    September 16, 2019
  • Angalia zote

Video

Mkurugenzi aondoa sintofahamu kuhusu Sumbawanga mpya
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • History
  • Councilors
  • Photo Gallery

Viunganishi vinavyofanana

  • Public Servant portal
  • Download your Salaryslip here
  • Looking for a job in Public Sector?
  • Get everything from the government
  • Rukwa
  • TAMISEMI

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wageni

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana Nasi

    Sumbawanga Municipal Council

    Anuani ya Posta: P.O.BOX 187, Sumbawanga

    Simu ya Mezani: +255252802163

    Simu ya Kiganjani: 0784519681

    Barua pepe: md@sumbawangamc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Uhuru binafsi
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

HakiMiliki ©2017 Sumbawangamc . Haki Zote Zimehifadhiwa