• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za wafanyakazi |
SUMBAWANGA MUNICIPAL COUNCIL
SUMBAWANGA MUNICIPAL COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Manispaa
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ardhi & Mipango Miji
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Mazingira na Taka Ngumu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Uchumi
      • Utawala & Rasilimali Watu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • TEHAMA
      • Ugavi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Matumizi bora ya Ardhi
    • Miundombinu yetu
    • Viwanda
    • Biashara
    • Utalii
    • Rasilimali za mifugo
  • Huduma
    • Afya
    • Huduma ya Maji
    • Education
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Fishing
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati na majukumu yake
      • Fedha na Utawala
      • UKIMWI
      • Uchumi, Elimu & Afya
      • Mipango miji & Mazingira
    • Ratiba za Vikao
      • For Councilors
      • For Hon. Mayor
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Fomu
    • Taratibu
    • Huduma za Kisheria
    • Fedha
  • Kituo cha Habari
    • Albamu ya Picha
    • Video
    • Taarifa Kwa Umma
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio
    • Makala
    • Michezo & Burudani

Miundombinu yetu

Ujenzi wa Kiwanja cha Ndege cha Sumbawanga 

Serikali kupitia mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania imepata mkopo nafuu kiasi cha Shilingi Billion 55.9 kutoka Benki ya Maendeleo ya Ulaya (EUROPEAN INVESTMENT BANK – EIB) kwa ajili ya ujenzi wa kiwanja hiki kwa kiwango cha kimataifa. Na Serikali italipa kiasi cha Tanzania Shilingi Billion 3.3 kwa Wahanga wapatao 97, kutoka Kata zote mbili yaani Kata ya Sumbawanga Asilia wapato 27 na Kata ya Izia 70 na kufikia jumla ya Wahanga 97. Kazi hii itahusisha (Scope) maeneop yafuatayo;

  • Ujenzi wa Jengo jipya la Abiria na miundombinu yake.
  • Ujenzi wa barabara ya kuruka na kutua ndege kwa kiwango cha lami (Paved Runway).
  • Barabara ya kiungio kutoka kiwanjani na maegesho ya magari kwa kiwango cha lami.
  • Usimikaji wa mfumo wa taa pamoja na mitambo ya kuongozea ndege (AGL & NAVAAIDS).

Baada ya ujenzi huu kukamilika utawezesha kiwanja cha ndege cha Sumbawanga kutumika kwa masaa 24 na kipindi chote cha mwaka.

Ziara ya Naibu Waziri wa Mawasiliano na Uchukuzi walipopita katikati ya Uwanja wa Ndege wa Sumbawanga

Mpango wa Kujenga Kiwanja cha Ndege Eneo la Kisumba

Mkoa umetenga eneo lenye ukubwa wa Hekari 3,411 katika eneo la Kisumba Manispaa ya Sumbawanga kwa ajili ya ujenzi wa Kiwanja cha Ndege. Eneo hili linamilikiwa na Meneja, Kiwanja cha Ndege Sumbawanga. Matarajio ni kujenga Kiwanja cha Ndege cha kisasa ili kuongeza fursa za usafiri na kuchochea shughuli za kiuchumi. Kwa mujibu wa Meneja wa TANROADS ambaye ana dhamana ya ujenzi na ukarabati wa Viwanja vya Ndege, usanifu (Design) unatarajiwa kuanza Mwaka wa Fedha 2019/2020

Shirika la Posta Tanzania 

Utekelezaji wa kazi zinazofanywa na Shirika la Posta

 Ofisi kuu ya Shirika la Posta Mkoa wa Rukwa ipo barabara kuu mtaa wa Mbeya Road, mkabala na Hospital kuu ya Mkoa wa Rukwa, Sumbawanga.

Huduma zinazotolewa na Shirika la Posta Rukwa 

  • Huduma za barua
  • Huduma ya utumaji na ulipaji wa fedha kwa njia ya mtandao
  • Huduma ya Expedited Mail Services (EMS)
  • Huduma ya Advertising Mails., matangazo kupitia masanduku ya barua
  • Huduma ya Internet Café na photocopy
  • Huduma za uwakala (Benki ya Posta,CRDB,NSSF,Moneygram, na Western Union)
  • Huduma ya Pcum, ukusanyaji sampuli za damu kavu (dried Blood Spot) kwenye vituo vya afya.
  • PostGiro, kupokea na kufanya malipo kwa niaba ya mteja

Ujenzi wa Barabara za mjini 

Barabara ya Majengo - Mashine za Mpunga

Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga inatekeleza Mradi wa Ujenzi wa Barabara ya Mashine za Mpunga – Majengo Min Basi Stendi kwa kiwango cha lami km 2.36. Mradi huu unagharamiwa na fedha kutoka Benki ya Dunia chini ya Mradi wa uboreshaji Miji (ULGSP – Urban Local Government Suport Programme), ambao umefanyiwa usanifu na unasimamiwa na mhandisi mshauri aitwae MUST Consultancy Bureau.

Barabara ya Mpanda –  Kanisa la Romani Katoriki Katandala km 2.64

Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga inatekeleza Mradi wa Ujenzi wa Barabara ya Mpanda –  Kanisa la Romani Katoriki Katandala km 2.64 njia mbili kwa kiwango cha lami (Asphalt Concrete). Mradi huu unagharamiwa na fedha kutoka Benki ya Dunia chini ya Mradi wa uboreshaji Miji (ULGSP – Urban Local Government Suport Programme, ambao umefanyiwa usanifu na unasimamiwa na Mtaalam mshauri aitwae MUST Consultancy Bureau.

Huduma za Kibenki 





Matangazo

  • Waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Kwanza 2021 December 18, 2020
  • Walichaguliwa Kidato cha Kwanza 2021 -PDF December 18, 2020
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2020 HALMASHAURI YA MANISPAA SUMBAWANGA. December 07, 2019
  • JOINING INSTRUCTION-LUKANGAO SECONDARY SCHOOL-MANISPAA YA SUMBAWANGA January 05, 2021
  • Angalia zote

Habari za Karibuni

  • Mitihani Kidato cha Nne 2020

    November 23, 2020
  • MBUNGE

    March 03, 2020
  • DC

    February 13, 2020
  • WASIOPITIA JKT WATAKIWA JESHINI KATIKA UTUMISHI WAO

    September 16, 2019
  • Angalia zote

Video

Mkurugenzi aondoa sintofahamu kuhusu Sumbawanga mpya
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • History
  • Councilors
  • Photo Gallery

Viunganishi vinavyofanana

  • Public Servant portal
  • Download your Salaryslip here
  • Looking for a job in Public Sector?
  • Get everything from the government
  • Rukwa
  • TAMISEMI

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wageni

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana Nasi

    Sumbawanga Municipal Council

    Anuani ya Posta: P.O.BOX 187, Sumbawanga

    Simu ya Mezani: +255252802163

    Simu ya Kiganjani: 0784519681

    Barua pepe: md@sumbawangamc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Uhuru binafsi
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

HakiMiliki ©2017 Sumbawangamc . Haki Zote Zimehifadhiwa